Vodacom Premier League, Simba Sports Club yatoka sare na Lipuli FC uwanja wa Uhuru 26/11/2017

Vodacom Premier League, Simba Sports Club yatoka sare na Lipuli FC uwanja wa Uhuru 26/11/2017

18 ' Goooooooooaal

Mpira wa adhabu ulipigwa moja kwa moja na kuhesabu goli la kusawazisha.

Simba SC 1-1 Lipuli FC
 
27 ' Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

Simba SC 1-1 Lipuli FC
 
30 'Busunguuu la la nje! Wakati huo huo mchezaji moja yuko chini
 
34 ' Niyonzimaaaaaaa nje unatoka sentimita chache lango la Lipuli
 
35' Ahmad Manzi anakwenda benchi na nafasi yake anachukua Lufunga
 
Hizi kosa kosa za Simba zitatucost..Lipuli ni watulivu
 
38 ' Kazimoto, Niyonzimaaa anapiga nje la la
 
40 ' ya mchezo wa mpira

Simba SC 1-1 Lipuli FC
 
Mlipili anafanya madhambi kwa mara ya tatu. Simba wawe makini
 
44' Anakwendaaaa lakini Bocco anashindwa kuwahi mpira hapa na kutoka nje!
 
Mpira wakati wowote utakuwa mapumziko


45 ' Naam mpira ni mapumziko hapa uwanja wa Uhuru ambapo timu zote zimetoshana nguvu kwa matokeo ya goli moja kwa moja.

Simba SC 1-1 Lipuli FC
 
46' Mpira umeanza kipindi cha pili..

Lipuli FC wamefanya mabadiliko ambapo Hussein Rashid amekwenda benchi na nafasi yake anachukua Martin Kazila
 
54' Mabadiliko upande wa Simba anaingia Laudit Mavugo anatoka Haruna Niyonzima
 
Back
Top Bottom