Vodacom Premier League, Simba Sports Club yatoka sare na Lipuli FC uwanja wa Uhuru 26/11/2017

Vodacom Premier League, Simba Sports Club yatoka sare na Lipuli FC uwanja wa Uhuru 26/11/2017

57'Seif Rashid anapewa kadi ya njano
 
60' James Kotei na Shaban Ada wanapewa kadi ya njano kwa kuonyeshana ubabe
 
64' Simba wanafanya mabadiliko, anatoka Mwinyi Kazimoto anaingia Nicolas Gyan
 
68' Ramadhani Mandebe anatolewa nje kwa kuumia
 
70 ' la laaaa kona chupuchupu hapa Simba
 
Ooh Ooh Bocco anakosa goal la wazi hapa
 
72 ' Anakwenda benchi James Kotei na anaingia Ally Shomari

Simba SC 1-1 Lipuli FC
 
77' Seif Rashid amekwenda benchi na nafasi yake anachukua Waziri Ramadhani upande wa Lipuli
 
78' Mpira wa adhabu kuelekea Lipuli

Anapigaaaaa Nyoniiiii nje
 
Gooo laaaa nje. Unagonga mwamba upande wa Lipuli

Huku golikipa Agathon akiwa chini. Bila shaka anapoteza muda
 
83' Anakwendaa Mzamiruuu, lakini anafanya madhambi.

Wakati huo huo wachezaji wa Lipuli wanaanguka anguka bila shaka kupoteza muda
 
Mungu wasaidie wanapaluhengo vana wa kukaye muwafunge simba
 
Back
Top Bottom