leon slim
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 261
- 615
Atakae elewa anibip [emoji1]Yanga na Simba wosa maisganyanza....baba wa Tawaifa Hayati Mwl. J K Nyerere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakae elewa anibip [emoji1]Yanga na Simba wosa maisganyanza....baba wa Tawaifa Hayati Mwl. J K Nyerere
Kwani Matola kafanya nini Mkuu?Lipuli mna bahati sana.. Ila Amri na Matola mlichokifanya leo kitawacost daima.
Tumeshapata matokeo ya Simba na Lipuli sasa tunaomba matokeo ya uchaguzi uliofanyika leo
Hawa Lipuli Hawa.Ligi ngumu hii
Kocha ndo tatizo pale.Toka afike washambuliaji wote alioletewa hawafai?timua boco, luizio,mavugo tukiendelea na wachezaji hawa nafasi ya tatu au nne halali yetu
Watemeni waje Yanga muone tofauti. Huyo Mavugo anaweza kupiga goli 20 akiwa YangaMtu aliyenunua hawa watu sijui alitumia akili gani,michezaji gani ile
Wanalupengo [emoji108] [emoji108]Team wanapaluhengo damu damu
1. Simba anapoint 23Kwa matokeo haya msimamo wa ligi upoje wakuu?
]emoji23][emoji23] [emoji23]Wanalupengo [emoji108] [emoji108]