Vodacom Premier League 'VPL' Alliance FC Vs Simba SC, Furaha Kwa Wanasimba Uwanja wa Kirumba

71' Hassan Dilungaaaaaaaaa Goooooooooooooooooooaaal goooooal

Hassan Dilunga anaipatia Simba SC bao la nne akiubetua mpira uliomshinda golikipa

Alliance FC 1-4 Simba SC
Huyo ndiye HD
 
77' Ametoka Shiboub ameingia Fraga upande wa Simba SC huku Simba wakitawala mchezo kwa kipindi hiki cha pili

Alliance FC 1-4 Simba SC
 
77' Ametoka Shiboub ameingia Fraga upande wa Simba SC huku Simba wakitawala mchezo kwa kipindi hiki cha pili

Alliance FC 1-4 Simba SC
Alliance walitangulia na baskeli ya mabua imefika mbele imewaka moto
 
Wallah Zemba sio mshezo hata mimi mabata mshungu.

Bhagosha linilo leshinu, mugocha bhupelanu lilekagi.
 
Kwa uchache basi tufanye goli 5 zinatosha kwa wanafunzi.
 
Kombara la mchezaji wa Alliance linagonga mwamba wa juu, nilisema mwanzo hawa Alliance anapiga mashuti sana.

Kahata anakosa bao wazi yeye na golikipa, dooooooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…