Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikute hawa madogo nao wanajisahau wanaanza kutazama kabumbu ya SimbaMkuu taratibu, tuna jambo letu hapo Kirumba leo.
Huyo ndiye HD71' Hassan Dilungaaaaaaaaa Goooooooooooooooooooaaal goooooal
Hassan Dilunga anaipatia Simba SC bao la nne akiubetua mpira uliomshinda golikipa
Alliance FC 1-4 Simba SC
Kuna watu wanaumia sana na watazidi kuumia kafungwa alliance ila watanuna wao [emoji196][emoji196][emoji196][emoji28][emoji28]
Alliance walitangulia na baskeli ya mabua imefika mbele imewaka moto77' Ametoka Shiboub ameingia Fraga upande wa Simba SC huku Simba wakitawala mchezo kwa kipindi hiki cha pili
Alliance FC 1-4 Simba SC
Bora hata wangemuacha Mkwasa tuYanga wataugua Vidonda vya tumbo Msimu huuu. Wakati Alliance Wanaongoza bao 1 mashabiki wa Yanga walikuwa mchaaaaro lkn sasa wameloa mbayaaa.
Hizi meme za Telegram
Chuuu bhageshi za mashiku?Wallah Zemba sio mshezo hata mimi mabata mshungu.
Bhagosha linilo leshinu, mugocha bhupelanu lilekagi.
Alliance walitangulia na baskeli ya mabua imefika mbele imewaka moto