Aliyemleta Kahata Simba..moja kwa moja peponi..
Mhola nkoyi, duleminyiwa na bhuyegu duhu nsumba gwichaneChuuu bhageshi za mashiku?
Kachukua nafasi ya nani huyu KahataKombara la mchezaji wa Alliance linagonga mwamba wa juu, nilisema mwanzo hawa Alliance anapiga mashuti sana.
Kahata anakosa bao wazi yeye na golikipa, dooooooh
Raha imezid hadi nasahau alikuwemo toka mwanzo dah,Kachukua nafasi ya nani huyu Kahata
Tehe tehehhee, ni raha tu imepitiliza bhana. Nduhu taaabhuuu leo wanaiona taabhuYupo Kahata, jaribu kufuatilia update hata mabadiliko tumeweka mkuu
La tano linachelewa wapi87' dakika Simba wakiongoza kwa mabao mnne kwa yai
4 kwa 187' dakika Simba wakiongoza kwa mabao mnne kwa yai
Yani...Kagereeeeee, Anakosaaaaaa
dooooooh, yah yah yah
Ilikuwa nafasi ya wazi yeye na lango la Alliance FC
Mkuu tupunguze sana hizi lawamaKocha unaogopa kuwashambulia Alliance utadhani unacheza na Zamelek unashindwaje kuwachezesha Kagere + Bocco kwa timu kama Alliance.
Hili goli alilokosa Kagere mpaka sasa sijalielewa kabisa.