Vodacom Premier League 'VPL' Alliance FC Vs Simba SC, Furaha Kwa Wanasimba Uwanja wa Kirumba

Vodacom Premier League 'VPL' Alliance FC Vs Simba SC, Furaha Kwa Wanasimba Uwanja wa Kirumba

Simba Wanafanya Mabadiliko; Ametoka Chama Ameingia Ajibu

Ametoka Dilunga ameingia Bocco
 
Kombara la mchezaji wa Alliance linagonga mwamba wa juu, nilisema mwanzo hawa Alliance anapiga mashuti sana.

Kahata anakosa bao wazi yeye na golikipa, dooooooh
Kachukua nafasi ya nani huyu Kahata
 
Hili goli alilokosa Kagere mpaka sasa sijalielewa kabisa.
 
Kocha unaogopa kuwashambulia Alliance utadhani unacheza na Zamelek unashindwaje kuwachezesha Kagere + Bocco kwa timu kama Alliance.
Mkuu tupunguze sana hizi lawama

Unaona vijana hao hao wamemla mtu 4

Kama timu ikifanya vibaya tuisapoti na ikishine kama hivi tuisapoti

Kumbe basi unaweza anza,na 2 hadi 3 strikers na bado usipate matokeo

Uvumilivu na kuheshimu kazi za watu ni muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira uishe tu sasa maana hawa jamaa hawawezi tena kufunga la tano
 
Back
Top Bottom