Vodacom Premier League 'VPL' Alliance FC Vs Simba SC, Furaha Kwa Wanasimba Uwanja wa Kirumba

Vodacom Premier League 'VPL' Alliance FC Vs Simba SC, Furaha Kwa Wanasimba Uwanja wa Kirumba

Mashuti ya akina Joseph Kaniki, Gabby Mwakusa, Ulimboka Mwakingwe nk sijui yalipotelea wapi Msimbazi yaani wachezaji wamelegealegea utadhan wanakula mlenda.
Anyway Simba nguvu moja daima Ushindi lazima.
 
Ft; Kulipewa Mwana Mwana Kulitaka Mnyama Mkali! Wekundu Wa Msimbazi, Wanalunyasi Taifa Kubwa Zemba 3-1 Wanafunzi!
Hutaki Nenda Kukuniya!
 
Mpira hapa ni mapumziko ambapo timu zinatoka zikiwa zimefungana bao moja kwa moja huku Simba wakipata bao kupitia kwa Jonas Mkude

HT: Alliance FC 1-1 Simba SC
Mbona mmesusa kuleta updates
 
Kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Kirumba, dakika za lala kwa buriani

Alliance FC 1-1 Simba SC
 
50' Kichwa cha Shiboub kinashindwa kulenga lango, huku Alliance FC wakifanya mabadiliko

Ametoka Michael ameingia Shija mkina
 
Goo laaaaaaaaaa, kombora lililopigwa na mchezaji wa Alliance linapanguliwa na kuwa kona ambayo haikuleta kitu

Kakolanya, Kakolanya anaokoa hatari ile
 
Hawa watoto waliyataka wenyewe sasa wameyapata wanamshika simba sharubu wanategemea nini?

#Operation three points
 
Back
Top Bottom