Wouzeeerrrr [emoji91][emoji91][emoji91] tukutane tar 8 [emoji1732]
Vp lile la Azam mpira aliotema manura Ni ofside[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kilicho akilini kitumie
TFF Mungu anawaona, mechi ngumu ngumu mfululizo lkn Mnyama atatoboa tuuu. KMC, AZAM then Kwasukwasu hatari Point 9 Muhimu bila chengamechi ilikuwa tough sana,point 3 muhimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga akipata hata sare tarehe 8 Mimi nazikata sehemu zangu za siri nawapa mbwa wale Shadeeya
Inyeshe isinyeshe lazima chura tumdondoshee tofalij² mvua inatakiwa isinyeshe ili tuone karama ya magoli, napendekeza yanga wapigwe goli 6, ili wagawane wachezaji wote nusu nusu wanywee na chai j³ asubuhi
Huo ndio ukweli kariba ya timu anazokutanazo na ndio maana Simba akikutana na timu zenye kuwaelewa mpaka mbeleko inatumika bwana mdogo tuache ushabiki mandaz Simba Bado Sana kwa kariba ya timu zetu anazocheza nazoWewe utakuwa na mtindio wa akili siyo kwa post hiii. Siyo kila mtu anaweza kushabikia Mpira waweza kushabikia hata Taarabu, over.
Waje tu halafu juzi kati nimemsikia zahera, anasema naskia yanga wamepata mdhamini na wanajitapa kua wanahela sasa nilikua nawauliza mnakuja au mimi ndio nije?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ngoja waje wenye team yao
😂😂😂Yanga akipata hata sare tarehe 8 Mimi nazikata sehemu zangu za siri nawapa mbwa wale Shadeeya