Vodacom Premier League (VPL) Azam FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League (VPL) Azam FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Taifa

90+4'

Kuelekea kumalizika kwa mtanange huu wa VPL

Wanamiliki Simba sasa, Chama kwake Mkude, kwake Mkude tena, wanatafuta bao Simba, wanarudisha nyuma kwake Wawa, Nyoni anapiga mbele mpira kumtafuta Kagere mpira unakuwa mrefu, wanachukua Azam FC

Inapigwaaa anacheza golikipa Manula, mpira unakwenda mbele sasa lango hatari lango la Azam FC

Kwake Chamaaaaa goo laaaaaa Simba wanaonyesha game hapa, ni soka la burudani

Naaaaaaam mpira umekwishaa Simba wanaibuka kidedea kwa mabao matatu kwa mawili yakiwekwa kimiani na Bocco 9' Kanda 16' Kagere 71' na ya Azam yakifungwa na Never 05, Idd Nado 50'

VPL, FT; Azam FC 2- 3 Simba SC

Ghazwat...
 
Sheria 11
Aidha , Hakutakuwa na dhana ya kuotea pale mchezaji atakapokutana na mpira Uliochezwa na mlinda mlango .



[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]

kilicho akilini kitumie
 
Wewe utakuwa na mtindio wa akili siyo kwa post hiii. Siyo kila mtu anaweza kushabikia Mpira waweza kushabikia hata Taarabu, over.
Huo ndio ukweli kariba ya timu anazokutanazo na ndio maana Simba akikutana na timu zenye kuwaelewa mpaka mbeleko inatumika bwana mdogo tuache ushabiki mandaz Simba Bado Sana kwa kariba ya timu zetu anazocheza nazo

kilicho akilini kitumie
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ngoja waje wenye team yao
Waje tu halafu juzi kati nimemsikia zahera, anasema naskia yanga wamepata mdhamini na wanajitapa kua wanahela sasa nilikua nawauliza mnakuja au mimi ndio nije?

It's Scars
 
Back
Top Bottom