Vodacom Premier League (VPL) Azam FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Taifa

Huo ndio ukweli kariba ya timu anazokutanazo na ndio maana Simba akikutana na timu zenye kuwaelewa mpaka mbeleko inatumika bwana mdogo tuache ushabiki mandaz Simba Bado Sana kwa kariba ya timu zetu anazocheza nazo

kilicho akilini kitumie
Unavyosema simba bado sana unatakiwa uweke wazi bado kwenye jambo gani?

Kama kwenye swala la kuomba omba na vibakuli ni kweli kwahilo simba bado sana

Lakini kama umelenga kuzungumzia kisoka ukisema simba bado sana, hiyo pia bado ni paradox kwasababu tutapata swali 'simba bado kwa kulinganisha na timu gani'?

Inaweza ikawa umefanya comparison kati ya simba na barca, kiukweli kwa hilo kuna ka upungufu kadogo sana ambako simba ikikarekebisha watakua katika kiwango bora zaidi ya barca

Ila kama unazungumzia simba kua ni bado sana kwa kuilinganisha na utopolo fc, aah ndugu yangu mbona pazia na mlango vina utofauti sana vipi unashindwa kutofautisha mzee?

It's Scars
 
Inadepend je mpira wakat unapigwa mchezaj alikuwa ashazidi au bado kama alikuwa ashazidi hata kipa akitema hiyo ni offside

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimeelewa kwanini sportpesa waliipambanisha Simba na Sevilla wale uporoto mpira wao ni butuabutua lakini soka ya Simba unaweza kuiona hata Laliga ndio maana waliotazama ile mechi hawakuamini kama Simba inatoka Tanzania
 
"Wanawake tukiwezeshwa tunaweza" haji Manara
 
kama yanga waliangalia hii mechi na wasiwasi kama wanaweza kuleta timu maana wanajua kabisa tarehe 8 ni kipigo cha aibu nafikiri sasa hivi watakuwa wanangaika kwa waganga wawasaidie maana kwa mpira hawatuwezi ndio maana wanataka wamkabidhi Mkwasa hii timu maana mzungu hatakubali ujinga wao
 
Wewe umeamua kutusumbua tu kichwani unaonekana una makamasi,unatia aibu
Huo ndio ukweli kariba ya timu anazokutanazo na ndio maana Simba akikutana na timu zenye kuwaelewa mpaka mbeleko inatumika bwana mdogo tuache ushabiki mandaz Simba Bado Sana kwa kariba ya timu zetu anazocheza nazo

kilicho akilini kitumie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ktk jambo ambalo yanga wataingia mkumbo ni kufikiri kama imani yao inaweza kuhamisha milima.
 
Ni hivi:kabla mpira uliopanguliwa na Manula haujapigwa wachezaji 3 wa Azam walikuwa offside.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…