Vodacom Premier League (VPL) Azam FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League (VPL) Azam FC dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Taifa

Pascal Wawa anaonyeshwa kadi ya njano upande wa Simba
 
Manulaaaaa anadaka, unapigwa mbele anazuia Bruce Kangwa

Wakati huo analalamika haelewi mambo yanakwenda veep
 
Gooal hapana ni offside hahahaha azam walipata bao la kusawazishwa baada ya chirwa kujenga kibanda

It's Scars
 
Azam wanatafuta bao, Kipagwile anapiga kwake Domayo, lakini wanapoteza Azam

Mpira unapigwa mbeleeeee kwake Maddie Kagere anamimina krosi kwake Chamaaaaa njeee

Azam FC 2-3 Simba SC
 
Vp lile la Azam mpira aliotema manura Ni ofside[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kilicho akilini kitumie
 
Back
Top Bottom