Vodacom Premier League 'VPL' KMC FC dhidi ya Simba SC, Kazi Ipo Uwanja wa Uhuru

40' na 43 mipira ya mashuti kutoka kwa Ajibu na Kanda inapaa lango la KMC hivyo Simba kukosa nafasi ya kuandika bao.
 
Goooooooooooooooooooaaal goooooooooaaal

46' ya kipindi cha pili, Deo Kanda wanawainua Wanasimba kwa bao la kwanza baada ya kupokea krosi bomba ya Dilunga upande wa kulia mwa Uwanja

KMC FC 0-1 Simba SC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…