Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]80' Chamaaaaa anampiga chenga golikipa, lakini shuti lake linashindwa kulenga lango
KMC FC 0-1 Simba SC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]80' Chamaaaaa anampiga chenga golikipa, lakini shuti lake linashindwa kulenga lango
KMC FC 0-1 Simba SC
Kanda amekosa goli la wazi86' gooo gooo laaaaaa laaaa... Deo Kanda anakosa nafasi ya wazi, ilikuwa gonga safi kati ya Kahata na Chama kabla ya kumfikia Deo aliyepaisha juu mpira
KMC FC 0-1 Simba SC
Iwe kweli sasaGoooooooooooooooooo
FragaaaaaaNani kaua
Brazilian 😂😂Fragaaaaaa
90+3' Anakwenda kwake Chama pembeni mwa uwanja, anampasia Kahata, Kahataaa kwake Fragaaaaaaa Goooooooooooooooooooaaal Goooooaaal, gooooooaaal Simba SC wanaandika bao la pili kupitia kwa kiungo wa kati Greson Fraga kwa sekunde hizi ya jioniiiii kabisa. Bado sekunde chache mpira kuiisha Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha, Simba wanaibuka na ushindi wa mabao ya mawili bila majibu dhidi ya KMC FC yakiwekwa kimiani na Deo Kanda 46' Na Greson Fraga 90+3. FT: KMC FC 0-2 Simba SC ....Ghazwat.....Kwaherini...!