Vodacom Premier League 'VPL' KMC FC dhidi ya Simba SC, Kazi Ipo Uwanja wa Uhuru

86' gooo gooo laaaaaa laaaa... Deo Kanda anakosa nafasi ya wazi, ilikuwa gonga safi kati ya Kahata na Chama kabla ya kumfikia Deo aliyepaisha juu mpira

KMC FC 0-1 Simba SC
 
90+3' Anakwenda kwake Chama pembeni mwa uwanja, anampasia Kahata, Kahataaa kwake Fragaaaaaaa Anapigaaaaaaaaaa

Goooooooooooooooooooaaal Goooooooooooaaal, gooooooaaal

Simba SC wanaandika bao la pili kupitia kwa kiungo wa kati Greson Fraga kwa sekunde hizi ya jioniiiii kabisa.

Bado sekunde chache mpira kuiisha

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwishaaaaaaaaaaaaa, Simba wanaibuka na ushindi wa mabao mawili bila majibu dhidi ya KMC FC yakiwekwa kimiani na Deo Kanda 46' Na Greson Fraga 90+3.

FT: KMC FC 0-2 Simba SC

....Ghazwat.....Kwaherini...!
 
90+3' Anakwenda kwake Chama pembeni mwa uwanja, anampasia Kahata, Kahataaa kwake Fragaaaaaaa Goooooooooooooooooooaaal Goooooaaal, gooooooaaal Simba SC wanaandika bao la pili kupitia kwa kiungo wa kati Greson Fraga kwa sekunde hizi ya jioniiiii kabisa. Bado sekunde chache mpira kuiisha Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha, Simba wanaibuka na ushindi wa mabao ya mawili bila majibu dhidi ya KMC FC yakiwekwa kimiani na Deo Kanda 46' Na Greson Fraga 90+3. FT: KMC FC 0-2 Simba SC ....Ghazwat.....Kwaherini...!

Back
Top Bottom