Vodacom Premier League 'VPL' KMC FC dhidi ya Simba SC, Kazi Ipo Uwanja wa Uhuru

Vodacom Premier League 'VPL' KMC FC dhidi ya Simba SC, Kazi Ipo Uwanja wa Uhuru

55' mpira wa kichwa wa Deo Kanda unapanguliwa na golikipa wa KMC ilikuwa hatari
 
61' KMC wanafanya mabadiliko, ametoka Bon Maganga ameingia Tape
 
65' Ametoka Ajibu Migomba ameingia Clatius Chama upande wa Simba SC
 
68' Ametoka Dilunga na nafasi yake amechukua Francis Kahata, upande wa Simba SC

KMC FC 0-1 Simba SC
 
Almanusura KMC waandike bao, kazi nzuri ya Aishi Manula inawazuia kusawazisha
 
74' Anakwenda sasa Kahata, Chama, anarudisha nyuma kwake Tshabalala, Tshabalala kwake Wawa anapiga katikati paleeeeeee Chama tena kwake Shamte.

Simba wanatalawa eneo kiungo hapa
 
80' Chamaaaaa anampiga chenga golikipa, lakini shuti lake linashindwa kulenga lango

KMC FC 0-1 Simba SC
 
Back
Top Bottom