Huyu Deo Kanda Uchebbe alikua keshamuona wa Kutemwa kabisaaaaaa lkn sasa tumeanza kumwelewa.55' mpira wa kichwa wa Deo Kanda unapanguliwa na golikipa wa KMC ilikuwa hatari
Nilijua tu. Hata hapo juu nimesema ha ha haKuna mechi za kutafuta kikosi lakini sio hii. Makocha tukiwapangia kikosi wasilete vibesi
Duuh chama alianzia bench leo kumbe65' Ametoka Ajibu Migomba ameingia Clatius Chama upande wa Simba SC
Du maisha yanaenda kasi sana Chama ni wakuanzia benchi siku hizi.65' Ametoka Ajibu Migomba ameingia Clatius Chama upande wa Simba SC
Kikosi kinafanyiwa rotation mzeeDu maisha yanaenda kasi sana Chama ni wakuanzia benchi siku hizi.
Shida ipo wapi? Subiri trh 4 ataanza mechi.Du maisha yanaenda kasi sana Chama ni wakuanzia benchi siku hizi.
Lingine?Simba wameua kipa
Mkuu hujui kitu,tuliaDu maisha yanaenda kasi sana Chama ni wakuanzia benchi siku hizi.