Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga sio timu ya mpira tena Bali kikundi cha Mtibwa cha ushangiliaji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]simba wanajiangusha kupoteza muda, halafu ndio wanataka kushindana kimataifa na tp mazembe? hahaha ujinga huu hawa simba ni wa hapa hapa hata GOR MAHIA hawawezi kuwafunga.
Hongera Simba kwa ushindi huu mujarabu. Vyura FC waje wajifunze mpira Simba SC.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]45+4' kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa VPL
Naaaaaaaaaaaaaaam Mpira Umekwishaaaaaa Uwanja wa Kirumba Simba SC wakiibuka na ushindi wa mabao mawili kwa moja yakiwekwa kimiani na Hassan Dilunga na Jonas Mkude na lile la Mbao FC likifungwa na Wazir Junior
Kwa matokeo haya, yameifanya Simba SC kujikita kileleni kwa alama 38 kwa michezo 15
FT: Mbao FC [emoji460] 1- [emoji460][emoji460] 2 Simba SC
.....Ghazwat
WoyoooooooAlama tatu muhimu kwa Simba SC..SimbaNguvuMojaView attachment 1325120