Vodacom Premier League 'VPL' Mwadui FC yaituliza Simba SC kwa kuichapa kwa goli 1 - 0

Vodacom Premier League 'VPL' Mwadui FC yaituliza Simba SC kwa kuichapa kwa goli 1 - 0

Muda waliotumia Wasafi FM 88.9 kuchambua kipigo cha Simba dhidi ya Mwadui na muda waliotumia kuichanachana Yanga dhidi ya Pyramids unasema mengi. Niishie hapo tu.
 
Hahahaa. Kuwa kileleni sio tatizo Ses sababu Timu ya Wananchi ikishinda mechi zote zilizobakia basi huko kileleni utakuwa umetuzidi point moja tu.
Mshinde mechi zote mnaubavu Shadeeya? Hizo ni ndoto za mchana ambazo mara zote zinatokana na hisia za kutamani jambo lisilowezakana🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom