Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Simba hata akinyeshewa mvua hageuki kua paka bado atabaki kua Simba mnyama hatari kabisaπππππ sijasikia Pacha. Unasema? ππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba hata akinyeshewa mvua hageuki kua paka bado atabaki kua Simba mnyama hatari kabisaπππππ sijasikia Pacha. Unasema? ππππ
Wanafungwa Really Madrid itakua Simba Shadeeya?Hahahaa. Mlitusema sana Kaka.
Kumbe na nyie mnafungwaga?
Kipindi Simba wanaitwa under dog mbona hao watangazaji tuliwasikiliza..Muda waliotumia Wasafi FM 88.9 kuchambua kipigo cha Simba dhidi ya Mwadui na muda waliotumia kuichanachana Yanga dhidi ya Pyramids unasema mengi. Niishie hapo tu.
Underdog ilikuja kuonekana kwa zile tano tano za ugenini.Kipindi Simba wanaitwa under dog mbona hao watangazaji tuliwasikiliza..
Acha wachambue wanavyotaka sababu maneno hayaingii uwanjani.
chezeni mpira acheni kulialia.. Kapindueni meza
Kama ni meza sawa.. Masau Bwire anakupa hai.Na kama huna habari meza itapinduliwa kibabe kwa hisani ya Mwadui FC
Hizi kauli nilizitegemea sana leo Ses.Simba hata akinyeshewa mvua hageuki kua paka bado atabaki kua Simba mnyama hatari kabisa
Mlishazoea kuyapeleka ya kwenu kuliwa vitano vitano.Kama ni meza sawa.. Masau Bwire anakupa hai.
Mnahama uwanja bado mnaliwa tu, mnafikiri soka ni Kalata.
Pelekeni makalio Misri haraka waarabu wanahamu nayo tena
Hahahaaaa. LolWanafungwa Really Madrid itakua Simba Shadeeya?
Taimu wili teli.Mshinde mechi zote mnaubavu Shadeeya? Hizo ni ndoto za mchana ambazo mara zote zinatokana na hisia za kutamani jambo lisilowezakanaπ€£π€£π€£
We unaliwa nje ndani sasa ndio ujueMlishazoea kuyapeleka ya kwenu kuliwa vitano vitano.
Sawa mtani, hongera na mwaka huu wako mpaka uchoke.Sema mabingwa wa nchi bhana mtani vp?
Tunaachaje sasa Mkuu. [emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]Niache kwa sasa akili na Nafsi nimeielekeza kwa Pyramid[emoji41][emoji41]Ila mkifungwa mna kauli tamu hizo kama sio nyie. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa mmeshinda njaa Mtani.
Hahahaa! Hivyo mmepanga mkajifarijie huko?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]Niache kwa sasa akili na Nafsi nimeielekeza kwa Pyramid[emoji41][emoji41]
Hahaha Dah Mkitoka suluhu yeyote ile nidai 20k..Hahahaa! Hivyo mmepanga mkajifarijie huko?
Niseme tu Mtani suluhu ndio itahusika huko.
Yetu na Pyramids yana zaidi ya siku 03 lakini mlikuwa hamjayaganga. Hebu tuwacheni ikifika hiyo jumapili tutayaganga haya Mtani.Yaliyopita Si ndwele tuyaangalie ya Misri mtani[emoji2][emoji2]
Tupo nyuma yenu tutawashangilia [emoji2][emoji2]Yetu na Pyramids yana zaidi ya siku 03 lakini mlikuwa hamjayaganga. Hebu tuwacheni ikifika hiyo jumapili tutayaganga haya Mtani.
Naona unataka kujifunga sasa Mtani.Hahaha Dah Mkitoka suluhu yeyote ile nidai 20k..
Tutaamini after 90mns za kule Misri.Mshatoka mtani acheni kukifariji!!![emoji23][emoji23]