Vodacom Premier League 'VPL' Mwadui FC yaituliza Simba SC kwa kuichapa kwa goli 1 - 0

Shenss zao Simba wanapigwa na watoto wadogo. Sasa sisi tukaeje huku mtaani. Kujiamini kwa Mambo ya kipumbavu.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] eti kwa bahati mbaya
90+5' Mpira Mpiraaa umekwishaaaaaa uwanja wa Kambarage, Simba wamepoteza kwa bahati mbaya

FT: Mwadui FC 1-0 Simba SC
 
Mwadui wangekuwa makini simba ingekufa ata kwa goli tatu. Sasa najiuliza mmefungwa na mwadui wanaolipwa mshaara wa laki nne mngekutana na pyramids mshaara wa mchezaji mmoja milioni 120 kwa mwezi simngepigwa dozen? Kuku wa kijani nyie.
Leo walikuwa wanatest mitambo kuona kama wanaweza kushinda bila Mo kutanguliza muamala. Jibu wamepata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…