Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na alikuwa anavaa mabukta makubwa kama turubai za msiba!Marehemu alikuwa na mdomo saana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnashinda njaa au mnashindia ukwaju wa moo
Hvi mmefurahi!??Tatizo marehemu alikuwa na mdomo saana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa RIPTatizo marehemu alikuwa na mdomo saana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Tatizo marehemu alikuwa na mdomo saana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
Mashabiki wa Pyramids leo walihamia Mwadui
Wamejariwa mdomo.Tatizo marehemu alikuwa na mdomo saana. 😂😂😂😂
Yule mzungu pori atapotea leo.Mwadui wangekuwa makini simba ingekufa ata kwa goli tatu. Sasa najiuliza mmefungwa na mwadui wanaolipwa mshaara wa laki nne mngekutana na pyramids mshaara wa mchezaji mmoja milioni 120 kwa mwezi simngepigwa dozen? Kuku wa kijani nyie.
Nawapongeza mwadui FC kwa moyo wa dhati kabisaHongereni Mwadui!
90+5' Mpira Mpiraaa umekwishaaaaaa uwanja wa Kambarage, Simba wamepoteza kwa bahati mbaya
FT: Mwadui FC 1-0 Simba SC
Leo walikuwa wanatest mitambo kuona kama wanaweza kushinda bila Mo kutanguliza muamala. Jibu wamepata!Mwadui wangekuwa makini simba ingekufa ata kwa goli tatu. Sasa najiuliza mmefungwa na mwadui wanaolipwa mshaara wa laki nne mngekutana na pyramids mshaara wa mchezaji mmoja milioni 120 kwa mwezi simngepigwa dozen? Kuku wa kijani nyie.