Vodacom Premier League 'VPL' Mwadui FC yaituliza Simba SC kwa kuichapa kwa goli 1 - 0

Vodacom Premier League 'VPL' Mwadui FC yaituliza Simba SC kwa kuichapa kwa goli 1 - 0

Shenss zao Simba wanapigwa na watoto wadogo. Sasa sisi tukaeje huku mtaani. Kujiamini kwa Mambo ya kipumbavu.
 
Mwadui wangekuwa makini simba ingekufa ata kwa goli tatu. Sasa najiuliza mmefungwa na mwadui wanaolipwa mshaara wa laki nne mngekutana na pyramids mshaara wa mchezaji mmoja milioni 120 kwa mwezi simngepigwa dozen? Kuku wa kijani nyie.
Leo walikuwa wanatest mitambo kuona kama wanaweza kushinda bila Mo kutanguliza muamala. Jibu wamepata!
 
Back
Top Bottom