Vodacom Premier League 'VPL' Mwadui FC yaituliza Simba SC kwa kuichapa kwa goli 1 - 0

Vodacom Premier League 'VPL' Mwadui FC yaituliza Simba SC kwa kuichapa kwa goli 1 - 0

Amejaza viungo wengi ambao hawana faida kazi ni kuzurura tu uwanjani.
 
45+2' Naaaaaaam mpira ni mapumziko ambapo Mwadui FC wanatoka wakiwa mbele ya bao moja

HT: Mwadui FC 1-0 Simba SC
 
Kocha wa Simba Aussein hafanyi sub kwa wakati.
Toa kahata weka Miraji Athumani.
Toa Chama mnywa pombe weka Ajibu.
Toa Haraka hao chapombe, tunataka ushindi
 
Viungo wameshindwa kabsa ase, nahisi uwanja sio rafiki sana, kuna haja ya kuingia miraji Athuman na Dilunga ili kuongeza kasi ya mchezo
 
Viungo wameshindwa kabsa ase, nahisi uwanja sio rafiki sana, kuna haja ya kuingia miraji Athuman na Dilunga ili kuongeza kasi ya mchezo
Midfielders wanapiga Square pass tu kulia na kushoto,kushoto na kulia wameshinda kupiga penetration pass kuanzi ktk ya kiwanja.
 
Back
Top Bottom