Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
[emoji23][emoji23][emoji23]nakusalimia mamii
Tunachomoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunachomoa
Go Go simba, na imani hamtoniangusha leo [emoji881][emoji881][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23]nakusalimia mamii
Tulia kwanza sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahahahah sio kwa mpira huu wanaocheza labda wabadilike Second half.Tunachomoa
Kwani kuna nini? Mimi hapa hata sijui nipo jukwaa gani[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahahahah sio kwa mpira huu wanaocheza labda wabadilike Second half.
Uko jukwaa la mabingwa wa TPL
Ni suala la muda tu utaelewa hili jukwaa
Kama midfielder hawatabadilika hakuna goli hapa timu imeshindwa kum more Foward hakuna mtu wa kui drive timu kwenda mbele.Naisubiri come back
Midfielders wanapiga Square pass tu kulia na kushoto,kushoto na kulia wameshinda kupiga penetration pass kuanzi ktk ya kiwanja.Viungo wameshindwa kabsa ase, nahisi uwanja sio rafiki sana, kuna haja ya kuingia miraji Athuman na Dilunga ili kuongeza kasi ya mchezo