Vodacom Premier League VPL' Simba SC dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Taifa

24' VPL, Simba SC 0-0 Kagera Sugar

Anaanza nyuma kwake Wawa anapiga kati, kwake Luis, anatoa pasi kisha anaomba tena anakwendaaaaa Offside
 
27' Anamimina maji Kapombeeeeee, anaruka Bocooo, laikini golikipa anaruka naye na kutoa mpira njee na kuwa kona

Inapigwaaaaaa Kona, Inaokolewa
 
32' Golikipa Tinocco analambwa kadi ya njano, kwa janja ya kupoteza muda

Matokeo bado bila kwa bila huku Simba wakipata free Kick
 
34' Inapigwaaaaaa faulo na Mkudeeee goo laaaaaaaaaa njeeee
 
Simba wanatakata eneo la ushambuliaji, Chama hatari..Luis Miquissone balaaaaa

Simba SC 0-0 Kagera Sugar
 
Mbona wanakaza, vyura wameshikilia mbupu...isomeke kutokea mwisho..... ..teheteheheehhee
 
Simba wanatakata eneo la ushambuliaji, Chama hatari..Luis Miquissone balaaaaa

Simba SC 0-0 Kagera Sugar
Basi isomeke japo Simba 1, Miwa 0 italeta maana.
 
Ally anapigaaa shuti kwa umbali lakini Manula anaruka na kudaka, nafasi chache za mashambulizi kwa Kagera
 
Haramu hajafanya uharamia wake? Wewe Bocco Haramu vuna hiyo miwa
 
Hatari Hatati lango la Kagera Sugar...Unapigwa pasi kwake Chamaaaaaa goooo loooooo Mpira unamgonga beki

Ilikuwa hatari sana, na nafasi kwa Simba
 
45+2'

Kuelekea mapumziko, anakwenda Miquissoneeee

Anafumua shutiiiii, goooo laaaaaaaaaa, huyu Luis Miquissone weka mbali na watoto, Kagera wanakoswa bao hapa...

Naaaaaaam ni mapumziko huku milango ikiwa migumu.

HT: Simba SC 0-0 Kagera Sugar
 
Simba wanatakata eneo la ushambuliaji, Chama hatari..Luis Miquissone balaaaaa

Simba SC 0-0 Kagera Sugar
Simba wamebadilika sana! hakika mpira wanaupiga, nadhani ujio wa Luis, umemfanya Chama kurudi katika ubora wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…