Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi isomeke japo Simba 1, Miwa 0 italeta maana.Simba wanatakata eneo la ushambuliaji, Chama hatari..Luis Miquissone balaaaaa
Simba SC 0-0 Kagera Sugar
Hatari Hatati lango la Kagera Sugar...Unapigwa pasi kwake Chamaaaaaa goooo loooooo Mpira unamgonga beki
Ilikuwa hatari sana, na nafasi kwa Simba
Simba wamebadilika sana! hakika mpira wanaupiga, nadhani ujio wa Luis, umemfanya Chama kurudi katika ubora wakeSimba wanatakata eneo la ushambuliaji, Chama hatari..Luis Miquissone balaaaaa
Simba SC 0-0 Kagera Sugar