Hahahahahahahahah Una sumbuka sana Mkuu tulia dawa ikuingie yote vizuri.
Kwani hajarudishiwa power bank yake!?Kagere ame flop kabisa yupo yupo tu uwanjani kama kuku aliyekatwa kichwa.
Goooooooooooooooooooaaal
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOAAAL
Dilunga anafumua shuti kali sana na kuhesabu bao la pili na kumuacha golikipa akichumpa bila mafanikio