Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Namungo FC, Kazi Ipo Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Namungo FC, Kazi Ipo Uwanja wa Taifa

15' Krosi sukari ya Kapombe golikipa wa Namungo anaruka juu na kuudaka mpira ule aaaaah
 
Namungo FC wanafanya jaribio moja lakini Wawa anaruka na kupiga mpira na kuwa kona

Inapigwaaaaaa Kona Inaokolewa

Simba SC 0-0 Namungo FC
 
21, Kahataaaaaaa Goooooooooooooooooooaaal GOOOOOOOOAAAL

Kahata anaipatia Simba SC bao la kwanza kwa kichwa cha kimo cha mbuzi baada krosi safi kutoka kwa Kapombe

Simba SC 1-0 Namungo FC
 
Kikoti na Lusajo wanajaribu kupenya ngome ya Simba...Lakini mabeki wa Simba wanakaa imara
 
30':Birigimana anashindwa kuandika bao la kusawazisha ilikuwa nafasi murua kabisa

Simba SC 1-0 Namungo FC
 
Mkudeee anapiga shutiiiii laaaaaaaaaa, anababatiza mchezaji na kuwa Kona.

Inapigwaaaaaa Konaa inadakwa na golikipa
 
35' Goooooooooooooooooooaaal Namungo wanasawazisha kupitia kwa Birigimana

Simba SC 1-1 Namungo FC
 
Goooooooooooooooooooaaal
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOAAAL

Dilunga anafumua shuti kali sana na kuhesabu bao la pili na kumuacha golikipa akichumpa bila mafanikio

Simba SC 2-1 Namungo FC
 
Back
Top Bottom