Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Namungo FC, Kazi Ipo Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Namungo FC, Kazi Ipo Uwanja wa Taifa

Pembeni ya Uwanja Kapombe anapiga krosi kwake Chama, kwake Kahataa aaaa njeeeeee

Ilikuwa hatari lango la Namungo fc
 
Kiwango cha kagere hakijashuka ila litimu sikuhizi limekuwa la hovyo...timu ina mastraika wawili tu boko na kagere na sikuhizi huwa anacheza kagere tu...mabeki wa timu pinzani wanajua muuaji wa simba ni kagere so anakabwa yeye tu...tatizo la simba ni viongozi...litimu sikuhizi lina bureaucracy sana...timu mabeki hamna tumebakiza mizee ile mda wote mizito imesimama ikikutana na foward zinazokimbia basi tuandae kapu la magoli...kwa bureaucracy iliyopo simba nakwambia hata leo makipa wote waumie tunaweza cheza msimu mzia bila kufanya usajili wowote wa makipa na kwa akili za viongozi wetu usishangae wakamwambia kagere ndo awe kipa...simba sahivi inahitaji iongeze ma straika wazuri wawili vijana waje kuwasaidia kagere na boko na ma beki wa tatu central,left na right back...na wamrudishe kotei sababu pengo lake bado halijazibika...cha kushangaza akili za viongozi wa simba wanasajili wa kina kichuya ambao wameshindwa soka la kulipwa huko tena timu za daraja la pili viwango vimeisha
Muhesmiwa unaangalia movement za kagere uwanjani, sijazungumza mambo ya nje ya uwanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wawa anapanda mbelee kwake Kahata, ni faulo

Inapigwaaaaaa faulo inadhibitiwa na Namungo

Simba SC 2-1 Namungo FC
 
Wawa yupo chini akipatiwa matibabu, baada ya kupata rabsha

Mabadiliko Simba; Ametoka Wawa na ameingia Tairone Santos
 
70' Kikotiiiiii Goooooooooooooooooooaaal
Namungo FC wanasawazisha kwa shuti kali

Simba SC 2-2 Namungo FC
 
Bocco ameingia kuchukua nafasi ya Dilunga, upande wa Simba SC
 
Golikipa wa Namungo FC yupo chini..!
 
Back
Top Bottom