Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Umefurahiiiiii!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefurahiiiiii!!!!!!!
Yaani vyura utawafahamu tu
Niko apa kaka simba yetu nguvu mojaUzee si ugonjwa Shunie[emoji3][emoji3][emoji3]
Karibu tuiunge mkono Simba yetu. Makali ya Wanamsimbazi yako vilevile na yameongezeka zaidi
Watanyooka tuu Kama bundi kila unakoelekea ni kuzomewa tuu Umezomewa weeee umekosa wakukualika sasa unatafuta wafuasi wenzako njoo kwanguDaaaah yaaani Simba inatesa mpaka wanafamilia wangu, maaana nimeskia babaaaaaaaaaaaaa gooooooal natoka chumban ndukiii. Ayseee mpira noma