Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Namungo FC, Kazi Ipo Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Namungo FC, Kazi Ipo Uwanja wa Taifa

Replay nimeangalia mara tatu tatu. kabla ya mpira wa kichwa kupigwa, Kagere hakuwa amezidi. ila wakati mpira wa kichwa unapigwa (pasi ya kichwa) Kagera alikuwa kwenye offside position.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni beki ni wa nyamungo, mpira unakwenda golini kwako harafu yeye akapanda, sijui ndio offside trick gani hiyo, ni goli halali kabisa, replya mbona ina ondoa ushaka wa hilo bao.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni beki ni wa nyamungo, mpira unakwenda golini kwako harafu yeye akapanda, sijui ndio offside trick gani hiyo, ni goli halali kabisa, replya mbona ina ondoa ushaka wa hilo bao.


Sent using Jamii Forums mobile app
Beki kapanda kulingana move ya mpira ulipokuwa unaelekea. Sheria ya offside kwani huijui? Mfano mpira umechezeka langoni lako halafu mtu wa timu pinzani yuko position sawasawa na timu B. Kisha mpira ukahama position na mchezaji akaenda na movement ya mpira lakini mchezaji yule wa timu pinzani kabakia position ile ile. Mpira ukirudi tena kwenye nafasi aliyopo lazima atakuwa kwenye offside position.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Goli kama lile angekuwa Kakolanya asingefungwa...

Alikumbushwa Shabiki Mmoja.
simba ina tatizo kubwa kuna watu wajuaji na pia kocha ni pimbi Dilunga aliomba sub muda kaumia lakini kocha kakausha ni makosa yaleyale Deo Kanda kaumia lakini kachelewa kumfanyia sub
Nyoni bado hajarudi hata kasi yake sio nzuri sielewi kwanini Fraga wanamweka benchi wakati Mkude hamzidi kucheza sasa hivi wale waliokuwa wakimlaumu Manula sijui watajisikiaje kwa huyu kocha ubingwa wetu mashakani
 
Lile goli la tatu kuna washabiki wa simba wanafurahia kupatikana kwa point tatu muhimu lakini wamekiri ya kwamba goli halikuwa halali ni offside. Hizi timu kubwa zinabebwa sana na waamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Msiseme neno kubebwa bali mumlaumu mwamuzi hasa kibendera, haukuwa kuendana na kasi ya matukio hasa tukio la yule aliyetoa assist ya kichwa, ingawa mwamuzi alikiwa kwenye line sambamba na beki wa namungo.
CLEAR OFFSIDE

3 points kwa simba
NGUVU MOJA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagere...Kagere....!! Ulipoa kidogo..sasa umeanza tena kuwaumiza 🐸🐸🐸 .. ? Ona sasa walivyojaa hapa wakinung'unika na kugumia kwa maumivu ya goli lako....anyway endelea hivyo hivyo ili ...mwakani CCL
 
Beki wanamungo ndo kazingua unamwachaje adui aende golini kwako na wewe unamkimbia kagere?
 
Sijaona kabisa offside,labda kama unaongelea kiushabiki zaidi,beki wa Namungo alifanya kosa la kizembe la kumkimbia Kagere badala ya kumdhibiti,hapo ndipo alipobugi kwani kabla mpira haujapigwa Kagere alikuwa mbele yake,lakini ulivyopigwa akataka kucheza offside trick,hapo ndipo alipobugi
Nasindikiza na picha, muda ambao mpira unapigwa
Screenshot_20200129-223429_1580326623543_1580326646010.jpeg
 
Tuache unazi Simba haina kocha,huyu kocha anatakiwa kutemwa timu ibaki na Matola mpaka msimu unaisha huku kocha wa maana akitafutwa
Hivi nyie mashabiki wa Simba mnataka nini kwa kocha, Au mnataka Yale magoli wanayofungwa akina Nyoni kocha aingie akazuie, Timu inatengeneza nafasi bado unamuona kocha hafai, Hii ligi uwezi kupata ubingwa kirahisi kiasi hicho, kuna wakati matokeo yanapatikana kwa mbinde huo ndo mpira.
Hata Liverpool sio muda wote wanapata matokeo kirahisi.
Kwa mtu anayejua mpira Awezi kumlaumu kocha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom