Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Acha tuwe mabubu soka letu limekua sanaMimi ni Simba lialia lakini kwenye ukweli usemwe tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tuwe mabubu soka letu limekua sanaMimi ni Simba lialia lakini kwenye ukweli usemwe tu.
Mpira ungetoka direct kwa Mkude isingekuwa offsideReplay nimeangalia mara tatu tatu. kabla ya mpira wa kichwa kupigwa, Kagere hakuwa amezidi. ila wakati mpira wa kichwa unapigwa (pasi ya kichwa) Kagera alikuwa kwenye offside position.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni beki ni wa nyamungo, mpira unakwenda golini kwako harafu yeye akapanda, sijui ndio offside trick gani hiyo, ni goli halali kabisa, replya mbona ina ondoa ushaka wa hilo bao.Replay nimeangalia mara tatu tatu. kabla ya mpira wa kichwa kupigwa, Kagere hakuwa amezidi. ila wakati mpira wa kichwa unapigwa (pasi ya kichwa) Kagera alikuwa kwenye offside position.
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu yenu mabeki wote wamezeeka mnatakiwa kufanya mabadiriko,Nyoni anapotea kabisa siku hiziKwa gharama ya usajili wa simba..hao wa hapahapa..tulitakiwa tuwe tunawapiga goli NNE kuendelea
Beki kapanda kulingana move ya mpira ulipokuwa unaelekea. Sheria ya offside kwani huijui? Mfano mpira umechezeka langoni lako halafu mtu wa timu pinzani yuko position sawasawa na timu B. Kisha mpira ukahama position na mchezaji akaenda na movement ya mpira lakini mchezaji yule wa timu pinzani kabakia position ile ile. Mpira ukirudi tena kwenye nafasi aliyopo lazima atakuwa kwenye offside position.Tatizo ni beki ni wa nyamungo, mpira unakwenda golini kwako harafu yeye akapanda, sijui ndio offside trick gani hiyo, ni goli halali kabisa, replya mbona ina ondoa ushaka wa hilo bao.
Sent using Jamii Forums mobile app
simba ina tatizo kubwa kuna watu wajuaji na pia kocha ni pimbi Dilunga aliomba sub muda kaumia lakini kocha kakausha ni makosa yaleyale Deo Kanda kaumia lakini kachelewa kumfanyia subGoli kama lile angekuwa Kakolanya asingefungwa...
Alikumbushwa Shabiki Mmoja.
Msiseme neno kubebwa bali mumlaumu mwamuzi hasa kibendera, haukuwa kuendana na kasi ya matukio hasa tukio la yule aliyetoa assist ya kichwa, ingawa mwamuzi alikiwa kwenye line sambamba na beki wa namungo.Lile goli la tatu kuna washabiki wa simba wanafurahia kupatikana kwa point tatu muhimu lakini wamekiri ya kwamba goli halikuwa halali ni offside. Hizi timu kubwa zinabebwa sana na waamuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ndio jibu...ondoa iyo 'eti'Kwahiyo tumefunga 3 eti
Timu yenu mabeki wote wamezeeka mnatakiwa kufanya mabadiriko,Nyoni anapotea kabisa siku hizi
Nasindikiza na picha, muda ambao mpira unapigwaSijaona kabisa offside,labda kama unaongelea kiushabiki zaidi,beki wa Namungo alifanya kosa la kizembe la kumkimbia Kagere badala ya kumdhibiti,hapo ndipo alipobugi kwani kabla mpira haujapigwa Kagere alikuwa mbele yake,lakini ulivyopigwa akataka kucheza offside trick,hapo ndipo alipobugi
Mtasema naye kahaidiwa ist [emoji1787]Beki wanamungo ndo kazingua unamwachaje adui aende golini kwako na wewe unamkimbia kagere?
Gori la Kagere limenipa point ila off side clear
Hivi nyie mashabiki wa Simba mnataka nini kwa kocha, Au mnataka Yale magoli wanayofungwa akina Nyoni kocha aingie akazuie, Timu inatengeneza nafasi bado unamuona kocha hafai, Hii ligi uwezi kupata ubingwa kirahisi kiasi hicho, kuna wakati matokeo yanapatikana kwa mbinde huo ndo mpira.Tuache unazi Simba haina kocha,huyu kocha anatakiwa kutemwa timu ibaki na Matola mpaka msimu unaisha huku kocha wa maana akitafutwa