Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Namungo FC, Kazi Ipo Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Namungo FC, Kazi Ipo Uwanja wa Taifa

Malalamiko yenu tutayafanyia kazi baada ya Ligi kumalizika sawa kwa sababu Simba SC na Next Level sawa mkuu?

Ndo maana hata CAF wanatambua hilo, Alhy, JS Soura, Vita Club, Nkana FC walileta malalamiko yao ambayo na mwisho waliangukia pua..[emoji23]NguvuMoja
Duuh!!

Mie nakusabahi tu Mtani.
 
Mbona lile goli la pili la Ruvu shuting dhidi ya Yanga lilikataliwa na Mwamuzi wakati mfungaji wa Ruvu hakuwa Offside.
Yanga mlimhonga Mwamuzi shilingi ngapi ?


Sent using Jamii Forums mobile app
Tusindikize na kapicha kidogo
Screenshot_20200130-081358.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh!!

Mie nakusabahi tu Mtani.
Niko poa mtani, ulianza kidogo jana, ukaahidi kuja asubuhi na kweli umekuja, hongera kwa kuja hapa ubaoni tuna IST yako njoo Msimbazi uchukue..![emoji23]

Jana tumemaliza alama 44 tunasubiri game nyingine, malalamiko hayawezi kuisha ndo burudani mtani..NguvuMoja
 
Niko poa mtani, ulianza kidogo jana, ukaahidi kuja asubuhi na kweli umekuja, hongera kwa kuja hapa ubaoni
Nafurahi kuyasikia hayo Mtani. 🙏🙏🙏🙏
tuna IST yako njoo Msimbazi uchukue..![emoji23]
Hahahahaaaa. LOL.
Jana tumemaliza alama 44 tunasubiri game nyingine, malalamiko hayawezi kuisha ndo burudani mtani..NguvuMoja
Wacha Wee. Haya Mtani wacha tuendelee kuburudika mana hatuna jinsi.
 
EPL kuna VAR lakini watu bado huwa wanabishana sana hasa kwenye offside
 
Kila mechi huyu mama anawabeba mgongoni Frolentina Zabron bila aibu kabisa,vibendera wanaonyesha offside za uongo uongo ila offside za mikia ni sawa tu magoli.......mnatia aibu
Linesman ndiyo anaweza kuona vizuri offside kuliko refa wa kati
 
Malalamiko yenu yatafanyiwa kazi baada ya Ligi kumalizika kwa sababu Simba SC ni Next Level sawa mkuu?

Ndo maana hata CAF wanatambua hilo, Ahly, JS Soura, Vita Club, Nkana FC walileta malalamiko yao ambayo mwisho waliangukia pua..[emoji23]NguvuMoja
Labda Cuf ya Lipumba ila siyo Caf ya mpira
 
Back
Top Bottom