changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Hivi tunaposema offside unaelewaje mwenzetu? Kumbe offside inapoamliwa huwa adui anakuwa position moja na beki?Beki wanamungo ndo kazingua unamwachaje adui aende golini kwako na wewe unamkimbia kagere?
Kama Beki hapaswi kuenda na movement na mpira bali abaki nyuma kumlinda mchezaji basi filimbi zote zinazoamliwa kuwa ni offside hazipaswi kuamliwa hivyo sababu mabeki ndio wanazingua kumuacha adui golini mwao.
Beki wa Namungo katoka kufuata mpira ulipo sasa wewe unasema kamkimbia kagere wakati huo mpira haukuwa position hiyo.
Kabla ya mpira wa kichwa kupigwa, kagere hakuwa offside. ila wakati inapigwa pasi ya kichwa kagere alikuwa offside position.
Sent using Jamii Forums mobile app