Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Namungo FC, Kazi Ipo Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Namungo FC, Kazi Ipo Uwanja wa Taifa

Beki alimkimbia kagere wakati kabla bado ule mpira aujaguswa na kichwa,kitendo cha mpira kuguswa na kichwa while kagere yuko peke yake ilishakua offside,then hata kama usingeguswa wakati beki kamkimbia kagere isingekua tu offside kama kagere angeunganisha direct kuupiga golini,lakini alijitengenezea kwa raha zake,ile ni clear offside na utaona tff itamsimamisha yule line 2 lakini matokeo yatabaki hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Angalia vizuri video usiongee kiushabiki,wakati mpira unapigwa Kagere hakuwa offside,ulivyopigea tu beki akataka kumkimbia Kagere,na hapo ndipo nyie msioangalia vizuri mnaposema ni offside
 
Angalia vizuri video usiongee kiushabiki,wakati mpira unapigwa Kagere hakuwa offside,ulivyopigea tu beki akataka kumkimbia Kagere,na hapo ndipo nyie msioangalia vizuri mnaposema ni offside
Ile beki ilijichanganya kinoma. Nadhani alikuwa na mawazo mawili i) kuwahi kumzunguuka kagere ili auwahi mpira na kuuokoa ii) alidhamiria kucheza offside trick. Lolote katika hayo asichokuwa akijua ni kuwa mtu aliyekuwa akikabana nae ni international professional hasa anapokuwa kwenye eneo la 18
 
Angalia post number 156 wakati mpira unapigwa Kagere alikuwa wapi
Sheria ya offside inaelekea inakupiga chenga mkuu. Kagere kapokea pasi akiwa katika offside position. Kabla ya pasi ya kichwa kupigwa kagere alikuwa onside position, wakati huo mpira haukuwa kwenye position hiyo, hivyo beki wa Namungo alimove kufuata mpira ulipo. Ikapigwa cross ambayo ikaunganishwa kwa kichwa kwenda kwa Kagere. ile pasi Kagere kaipokea akiwa katika offside position. Narudia tena, Kagere kapokea pasi ya kichwa akiwa kwenye offside position

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mechi huyu mama anawabeba mgongoni Frolentina Zabron bila aibu kabisa,vibendera wanaonyesha offside za uongo uongo ila offside za mikia ni sawa tu magoli.......mnatia aibu
Ndiyo maana hata ulaya waliintroduce VAR ili kutatua baadha ya utata ambao binadamu wa kawaida humtokea. Raha ya mpira ni magoli....kama refa hana hakika kama ni offside au si offside na goli limefugwa ni bora aseme goli kuliko kutokusema si goli. Lkn refa na assistants wake hawawezi kufanya kosa wote kwa wakati mmoja.
 
Angalia post number 156 wakati mpira unapigwa Kagere alikuwa wapi
Huyu hapa kagere anapokea pasi ya kichwa, je alikuwa onside position au offside position?
Screenshot_20200130-102423.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ya offside inaelekea inakupiga chenga mkuu. Kagere kapokea pasi akiwa katika offside position. Kabla ya pasi ya kichwa kupigwa kagere alikuwa onside position, wakati huo mpira haukuwa kwenye position hiyo, hivyo beki wa Namungo alimove kufuata mpira ulipo. Ikapigwa cross ambayo ikaunganishwa kwa kichwa kwenda kwa Kagere. ile pasi Kagere kaipokea akiwa katika offside position. Narudia tena, Kagere kapokea pasi ya kichwa akiwa kwenye offside position

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mpira unapigwa alikuwa kwenye offside position? Au ni wakati anaipokea iyo pasi?
 
Ndiyo maana hata ulaya waliintroduce VAR ili kutatua baadha ya utata ambao binadamu wa kawaida humtokea. Raha ya mpira ni magoli....kama refa hana hakika kama ni offside au si offside na goli limefugwa ni bora aseme goli kuliko kutokusema si goli. Lkn refa na assistants wake hawawezi kufanya kosa wote kwa wakati mmoja.
Kila siku controverse zipo kwenu tu? Jana assistant mmoja anawapa goli la offside,mwingine anaua movements za Namungo kwa offside za uongo wanapolikaribia goli la Mikia.......aibu ya wazi

Ivi kwanini kila timu inalalamika vyumba kupuliziwa dawa? Jana na Namungo naowamelalamika
 
Angalia vizuri video usiongee kiushabiki,wakati mpira unapigwa Kagere hakuwa offside,ulivyopigea tu beki akataka kumkimbia Kagere,na hapo ndipo nyie msioangalia vizuri mnaposema ni offside
Haya Mambo yanatokea kote tuu, tatizo sio kuhongwa shida waamuzi hawako makini hata Kwa Yanga yanatokea Sana ila watu wa Simba yakitokea Kwa Yanga wanapotezea tuu
 
Sheria inasema mchezaji anapopokea mpira anaangaliwa kama yupo onside au offside position. Kagere alikuwa onside wakati hajapata mpira ila alipoletewa mpira, alikuwa kwenye offside position.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo unapokosea, sheria inaangalia mpira unapopigwa mchezaji alikua onside or offside na si alipopokea.
 
Hapo ndo unapokosea, sheria inaangalia mpira unapopigwa mchezaji alikua onside or offside na si alipopokea.
Mpira au pasi ya mwisho kupokea mchezaji ndio inayoamua kuwa yupo position ipi huyo anayeipokea mpira wakati unapigwa. Na kwa namna hiyo tuangalie wakati mpira wa kichwa unapigwa je Kagere alikuwa position ipi onside au offside?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom