kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaani kumisiana huku balaaa niko mzima dada akee hofu kwako tuSijambo Dada wa mie. Ila sio kwa kumisiana huku jamaani. Lol.
Haya umzima?
Hivyo unafurahi kupata ushindi kwa kubebwa Mkuu?Vipi na nyie yanga mlivyopigwa goli la pili na jkt ruvu referee akakataa na kusema kuwa ni offside wakati ilikuwa siyo offside...vipi na nyie mlimpa IST???
changaule chambua na hii hapa usijisahaulishe.Mbona lile goli la pili la Ruvu shuting dhidi ya Yanga lilikataliwa na Mwamuzi wakati mfungaji wa Ruvu hakuwa Offside.
Yanga mlimhonga Mwamuzi shilingi ngapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie Alhamdulillah Dada niko mzima kabisa. Nimefurahi kukuona.Yaaani kumisiana huku balaaa niko mzima dada akee hofu kwako tu
Malalamiko yenu yatafanyiwa kazi baada ya Ligi kumalizika kwa sababu Simba SC ni Next Level sawa mkuu?Sema tumebebwa mkuu
Duuh!!Malalamiko yenu tutayafanyia kazi baada ya Ligi kumalizika sawa kwa sababu Simba SC na Next Level sawa mkuu?
Ndo maana hata CAF wanatambua hilo, Alhy, JS Soura, Vita Club, Nkana FC walileta malalamiko yao ambayo na mwisho waliangukia pua..[emoji23]NguvuMoja
Tusindikize na kapicha kidogoMbona lile goli la pili la Ruvu shuting dhidi ya Yanga lilikataliwa na Mwamuzi wakati mfungaji wa Ruvu hakuwa Offside.
Yanga mlimhonga Mwamuzi shilingi ngapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh Shadeeya! Madai hayo mbona kama ya Kikambwilikambwili vile😀😀😀😀 Kwa kubebwa huku wacha tu nisiende. 😀😀
Niko poa mtani, ulianza kidogo jana, ukaahidi kuja asubuhi na kweli umekuja, hongera kwa kuja hapa ubaoni tuna IST yako njoo Msimbazi uchukue..![emoji23]Duuh!!
Mie nakusabahi tu Mtani.
Sesten Zakazaka angalia hiyoo.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 1340425
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria ya offside haipo hivyo ShadeeyaSesten Zakazaka angalia hiyoo.
Nimefurahi pia dada akee uwe na asubuhi njemaMie Alhamdulillah Dada niko mzima kabisa. Nimefurahi kukuona.
Nafurahi kuyasikia hayo Mtani. 🙏🙏🙏🙏Niko poa mtani, ulianza kidogo jana, ukaahidi kuja asubuhi na kweli umekuja, hongera kwa kuja hapa ubaoni
Hahahahaaaa. LOL.tuna IST yako njoo Msimbazi uchukue..![emoji23]
Wacha Wee. Haya Mtani wacha tuendelee kuburudika mana hatuna jinsi.Jana tumemaliza alama 44 tunasubiri game nyingine, malalamiko hayawezi kuisha ndo burudani mtani..NguvuMoja
Ipoje hebu nipe hata kwa uchache kuhusu ninachokiona hapo?Sheria ya offside haipo hivyo Shadeeya
Linesman ndiyo anaweza kuona vizuri offside kuliko refa wa katiKila mechi huyu mama anawabeba mgongoni Frolentina Zabron bila aibu kabisa,vibendera wanaonyesha offside za uongo uongo ila offside za mikia ni sawa tu magoli.......mnatia aibu
Labda Cuf ya Lipumba ila siyo Caf ya mpiraMalalamiko yenu yatafanyiwa kazi baada ya Ligi kumalizika kwa sababu Simba SC ni Next Level sawa mkuu?
Ndo maana hata CAF wanatambua hilo, Ahly, JS Soura, Vita Club, Nkana FC walileta malalamiko yao ambayo mwisho waliangukia pua..[emoji23]NguvuMoja
Wote lao moja tu,pipa na mfunikoLinesman ndiyo anaweza kuona vizuri offside kuliko refa wa kati