Kiwango cha kagere hakijashuka ila litimu sikuhizi limekuwa la hovyo...timu ina mastraika wawili tu boko na kagere na sikuhizi huwa anacheza kagere tu...mabeki wa timu pinzani wanajua muuaji wa simba ni kagere so anakabwa yeye tu...tatizo la simba ni viongozi...litimu sikuhizi lina bureaucracy sana...timu mabeki hamna tumebakiza mizee ile mda wote mizito imesimama ikikutana na foward zinazokimbia basi tuandae kapu la magoli...kwa bureaucracy iliyopo simba nakwambia hata leo makipa wote waumie tunaweza cheza msimu mzia bila kufanya usajili wowote wa makipa na kwa akili za viongozi wetu usishangae wakamwambia kagere ndo awe kipa...simba sahivi inahitaji iongeze ma straika wazuri wawili vijana waje kuwasaidia kagere na boko na ma beki wa tatu central,left na right back...na wamrudishe kotei sababu pengo lake bado halijazibika...cha kushangaza akili za viongozi wa simba wanasajili wa kina kichuya ambao wameshindwa soka la kulipwa huko tena timu za daraja la pili viwango vimeisha