Mambo ni bull bull bado 310' Ni free kick kuelekea Ndanda FC baada ya Shiboub kuchezewa vibaya
Anakwendaaaa Kahataaaaaaaaaaa
Goooooooooooooooooooaaal gooooal
Francis Kahata anawatanguliza Simba bao la kwanza kwa faulo iliyoenda moja kwa moja lango la Ndanda FC
Simba SC 1-0 Ndanda FC
Nasema hiviiiiii, yanga hawezi kutufunga ata kwa bahati mbaya tarehe 4.20' Goo laaaaaaaaaa kwa mara nyingine Ajibu anakosa bao kwa mpira wake kutoka sentimita chache ya lango la Ndanda FC
Simba SC 1-0 Ndanda FC
Siku hiyo ni kumpiga tu hakuna kumuonea huruma.Hii Simba hii unajiuliza Yanga anachoropokea wapi tar 4.
05' mpira unachezwa zaidi eneo la Ndanda FC ambapo mpira wa kichwa wa John Bocco almanusura aandike bao
Hii unayoona leo ni rasha rasha tu, mvua inanyesha tarehe 04.Katimu kanacheza na kitimu,ila kelele nyiiingiiii!!#04Jan2020
Le capitano mwenyewe ndani ya nyumba leo.
Shuti lenyewe ni mbezi hadi Mbagala, hatari sana.Go laaaaaaaa laaaaaaaa njeeee..Gadiel anapiga shuti kali linatoka sentimita chache lango la Kuchele ilikuwa hatari hapa
Ndanda wanapoteana uwanja wa Taifa