Vodacom Premier League ' VPL' Simba SC dhidi ya Ndanda FC Uwanja wa Taifa, Kulitaka Mwana!

Vodacom Premier League ' VPL' Simba SC dhidi ya Ndanda FC Uwanja wa Taifa, Kulitaka Mwana!

10' Ni free kick kuelekea Ndanda FC baada ya Shiboub kuchezewa vibaya

Anakwendaaaa Kahataaaaaaaaaaa

Goooooooooooooooooooaaal gooooal

Francis Kahata anawatanguliza Simba bao la kwanza kwa faulo iliyoenda moja kwa moja lango la Ndanda FC

Simba SC 1-0 Ndanda FC
Mambo ni bull bull bado 3
 
20' Goo laaaaaaaaaa kwa mara nyingine Ajibu anakosa bao kwa mpira wake kutoka sentimita chache ya lango la Ndanda FC

Simba SC 1-0 Ndanda FC
 
23' Free Kick, Anapiga Ajibu sasa haya anapigaaaaaaaa njeeee ya lango

Simba inatawala eneo la kati na safu ya ushambuliaji
 
Katimu kanacheza na kitimu,ila kelele nyiiingiiii!!#04Jan2020
 
Ndanda wanapata free kick kuelekea Simba, wanapiga lakini wanapoteza na kuuwahi Simba sasa..!

Simba SC 1-0 Ndanda FC
 
Go laaaaaaaa laaaaaaaa njeeee..Gadiel anapiga shuti kali linatoka sentimita chache lango la Kuchele ilikuwa hatari hapa

Ndanda wanapoteana uwanja wa Taifa
 
Go laaaaaaaa laaaaaaaa njeeee..Gadiel anapiga shuti kali linatoka sentimita chache lango la Kuchele ilikuwa hatari hapa

Ndanda wanapoteana uwanja wa Taifa
Shuti lenyewe ni mbezi hadi Mbagala, hatari sana.
 
Back
Top Bottom