Vodacom Premier League ' VPL' Simba SC dhidi ya Ndanda FC Uwanja wa Taifa, Kulitaka Mwana!

Hawa Ndanda tumeshawakamata, kinachotakikana hapa ni kubadilisha huu umiliki wetu wa mpira kuwa magoli, yes we need to score many goals as we can in this first half.
 
40' kuelekea kuwa mapumziko bado Simba wako mbele ya moja huku Ndanda wakitawaliwa sana eneo la katikati

Simba SC 1-0 Ndanda FC
 
Ndemlaaaaaaaa njeeee, Ilipigwa shuti kali sana golikipa Ally Mustafa anapangua na kuwa kona..Inapigwaa Kona inaokolewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NguvuMoja
Anaweza kuagiza kitabu cha mh Mkapa, my life, my purpose akakisoma chote na kukimaliza wakati game ikiendelea hapa.
 
45+1' Kuelekea kuwa mapumziko

Naaaaaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba wakitawala mchezo kwa 45' za kipindi cha kwanza, wanatoka wakiwa mbele ya bao moja dhidi ya Ndanda FC

HT: Simba SC 1-0 Ndanda FC
 
Simba SC anakupa burudani ambayo dunia nzima inapatikana Msimbazi na Catalunya tu pasi nyingi, pace ya kutosha tukitulia pale mbele khamsa kama kawaida.
Timu imekua nzuri sana tunapiga pasi nyingi ila za kwenda mbele.
NGUVU MOJA
 
Wana Yanga mna visa, kwahiyo atumie MB zake kuleta habari za Matopeni. Mwambie Gide alete za hao gongowazi
TASAF FC mpaka mashabiki wao, nitakuwa natoa bonas ya mb kwa mashabiki wa Yanga waweze kutuletea mitanange yao.
 
Kipindi cha pili kimeanzaa uwanja wa Taifa

Ndanda wameanza kwa kasi mpira ulipigwa mchezaji wa Ndanda unaokolewa na Manula
 
47' Kwa dakika takriban 3 Ndanda wamebadilika nadhani baada ya kupata mawaidha kutoka kwa Kocha

Simba SC 1-0 Ndanda FC
 
56' Simba wanafanya mabadiliko..Anatoka Francis Kahata, anaingia Deo Kanda
 
60' Ndanda wanajaribu kulifikia lango la Simba, Shuti la mchezaji wao linadakwa na Manula

Simba SC 1-0 Ndanda FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…