OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kimuhemuhe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimuhemuhe
Ataletaje wakati hana uhakika wa kushinda, unataka aje kuaibika
Wana Yanga mna visa, kwahiyo atumie MB zake kuleta habari za Matopeni. Mwambie Gide alete za hao gongowazi
Ataletaje wakati hana uhakika wa kushinda, unataka aje kuaibika
Labda yy ni shabiki wa simba ila wale mashabiki wa yanga kwakweli wamepoa kama timu yao wao ni mpaka final result
Wana Yanga mna visa, kwahiyo atumie MB zake kuleta habari za Matopeni. Mwambie Gide alete za hao gongowazi
Anaweza kuagiza kitabu cha mh Mkapa, my life, my purpose akakisoma chote na kukimaliza wakati game ikiendelea hapa.Wanachezewa nusu uwanja. Manula agiza gazeti ujisomee
Ina maana wakuu Laki Si Pesa, Shadeeya nk nk hawana hela ya kununua mb au hawaiamini timu yao?Labda yy ni shabiki wa simba ila wale mashabiki wa yanga kwakweli wamepoa kama timu yao wao ni mpaka final result
Siku simba ikiwa uwanjani mkuu gwazat hufanya kazi nzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
TASAF FC mpaka mashabiki wao, nitakuwa natoa bonas ya mb kwa mashabiki wa Yanga waweze kutuletea mitanange yao.Wana Yanga mna visa, kwahiyo atumie MB zake kuleta habari za Matopeni. Mwambie Gide alete za hao gongowazi
Mmoja utamuona tarehe 4 akiwarukisha vyura ,vyura watarukaruka