Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari mbaya sana pale bwawaniGoooooooooooooooooooaaal Goooal
Deo Kanda anaipatia Simba SC bao la pili baada kuugusa mpira uliopigwa na Gadiel Michael
Simba SC 2-0 Ndanda FC
Nomaaa sanaGoooooooooooooooooooaaal Goooal
Deo Kanda anaipatia Simba SC bao la pili baada kuugusa mpira uliopigwa na Gadiel Michael
Simba SC 2-0 Ndanda FC
Nimepitwa aisee90+2' kuelekea kumalizika kwa mchezo, ambapo Simba wanaongoza kwa bao mbili
Dakika chache wachezaji wa Simba wakigonga pasi za hapa na pale huku Gadiel na Ndemla wakikosa nafasi ya kuipatia Simba bao la 3.
Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha ambapo Simba wametoka kifua mbele kwa mabao mawili bila majibu yakiwekwa kimiani na Kahata dakika ya 13, na Deo dakika ya 85.
FT: Simba SC 2- 0 Ndanda FC
•••••Ghazwat......
Ila Leo wamecheza mpira mbovu mno sio Simba ninaowajua.Mkuu, unaanza kuipangia Simba wanaotakiwa kucheza? Hapo kocha alifumba macho tu akaokota vikaratasi vyenye majina, yaliyookotwa ndio hao unaowaona wamepangwa
Tatizo muda Mkuu. Sababu mipira mingi huwa inaanza ile mida ambayo nakuwa busy na mambo mengine nje ya Jf.Ina maana wakuu Laki Si Pesa, Shadeeya nk nk hawana hela ya kununua mb au hawaiamini timu yao?
Sawa mkuu, majukumu yetu ya kimaisha ni kwanza ila mbona sio wote? Ukweli ni kuwa hamuiamini kabisa timu yenu ndio maana mara zote mnajitokeza kwa kasi baada ya mpira kuisha kuwasaidia mnakuwa na matokeo tayari.Tatizo muda Mkuu. Sababu mipira mingi huwa inaanza ile mida ambayo nakuwa busy na mambo mengine nje ya Jf.
Pia kama muda ninao naleta updates kwenye uzi wa Timu ya Wananchi.
Oooh. Kwa kuwa umeshajiaminisha hivyo mimi ni nani mpaka nikubishie Mkuu.Sawa mkuu, majukumu yetu ya kimaisha ni kwanza ila mbona sio wote? Ukweli ni kuwa hamuiamini kabisa timu yenu ndio maana mara zote mnajitokeza kwa kasi baada ya mpira kuisha kuwasaidia mnakuwa na matokeo tayari.
Sawa mkuu, imebaki kesho tu, Jumamosi tunawashikisha adabu.Oooh. Kwa kuwa umeshajiaminisha hivyo mimi ni nani mpaka nikubishie Mkuu.
Nikukumbushe leo ni Januari 02 2020