Mwadui walicheza hivihivi kama wanavyocheza Prisons leo na wakafanikiwa Kocha wa Simba hana Plan B kwa timu inayocheza Defensive Game.Ila hawa prisons hawa...ngoja tuone kipindi cha pili! Isije ikawa sare ya kwanza...
Wachezaji WA 5 wote Ni watu wa slowKwakweli tumekuwa hatuna madhara kabsa golini kwa prison, mpira umepoa, sioni ule ubunifu wa viungo, sioni forcing ya kusaka goli dah, kwakweli bocco arudi tu, kuna haja ya kutoa shiboub au chama, aingie dilunga, na mzamiru au Rashid juma ase. Yaani tumekuwa hatuna madhara kabsa langoni mwa adui
Hawa wajelajela wamekula nini wagumu ivi?70' kutoka uwanja wa Uhuru matokeo yakiwa bado bila kwa bila
Anatoka Kahata anaingia Rashid Juma upande wa Simba SC
Simba SC 0-0 Tanzania Prisons