Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Uhuru

Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Uhuru

40' Kagere mpira wake unagonga mwamba na kuokolewa, mabeki wa Prisons wako vema..!

Simba SC 0-0 Tanzania Prisons
 
45+3' kuelekea kuwa mapumziko Uwanja wa Uhuru

Naaaaaaam mpira ni mapumziko

Simba SC 0-0 Tanzania Prisons
 
Ila hawa prisons hawa...ngoja tuone kipindi cha pili! Isije ikawa sare ya kwanza...
Mwadui walicheza hivihivi kama wanavyocheza Prisons leo na wakafanikiwa Kocha wa Simba hana Plan B kwa timu inayocheza Defensive Game.
 
Kwakweli tumekuwa hatuna madhara kabsa golini kwa prison, mpira umepoa, sioni ule ubunifu wa viungo, sioni forcing ya kusaka goli dah, kwakweli bocco arudi tu, kuna haja ya kutoa shiboub au chama, aingie dilunga, na mzamiru au Rashid juma ase. Yaani tumekuwa hatuna madhara kabsa langoni mwa adui
 
Mungu ibariki Simba lunyasi mnyama mkali kabisa msituni [emoji881] [emoji881] [emoji881] [emoji146]
 
Kwakweli tumekuwa hatuna madhara kabsa golini kwa prison, mpira umepoa, sioni ule ubunifu wa viungo, sioni forcing ya kusaka goli dah, kwakweli bocco arudi tu, kuna haja ya kutoa shiboub au chama, aingie dilunga, na mzamiru au Rashid juma ase. Yaani tumekuwa hatuna madhara kabsa langoni mwa adui
Wachezaji WA 5 wote Ni watu wa slow
Ajibu
Mkude
Chama
Shiboub
Kahata

Inatakiwa aingie mtu WA ku force awakimbize
Miraji
Dilunga
Rashid
 
Wapi dada shadeeya, kitabu chetu cha dua umesahau shinyanga? Hawa watafukuza kocha na mo kabisa.
 
56' Ajibu anatoka na nafasi yake anachukua Kanda

Simba SC 0-0 Tanzania Prisons
 
Tshabalala kwake Chamaaaa, Kageree ni kona..Inapigwa konaaaaa inaokolewa na Golikipa wa Prisons
 
70' kutoka uwanja wa Uhuru matokeo yakiwa bado bila kwa bila

Anatoka Kahata anaingia Rashid Juma upande wa Simba SC

Simba SC 0-0 Tanzania Prisons
 
Goooaaal, Rashid Juma alipiga shuti kali na linatoka nje Sentimita chache, ilikuwa hatari
 
Gooooo laaaaaaaa, Kagere anakosa nafasi ya wazi kuipatia Simba bao..wakati huo huo golikipa wa Prisons yupo chini baada ya kupata rabsha.

Simba SC 0-0 Tanzania Prisons
 
Back
Top Bottom