balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Mbumbumbu fc aka She_ mbwa yaan mbwa jike maweeeee!Namkubali 100/100 maana aliwapangua wachezaji 6 wa Simba mpaka pale alipochezewa madhambi na Mkude bila hivyo alikuwa anaenda kumchambua Manula na kufunga goli.
Wape credit na prison sio lazima simba ishinde mechi zoteNimewasikia wachambuzi wa Azam Sport wamesema yafuatayo;
a) kocha wa Simba huwa hafanyi research kuhusu timu anayocheza nayo ubora wao ni upi na yeye achezeje, yeye anafanya rotation zake tu bila kujua hii ni mechi gani. Na hii inathibitishwa na kauli yake baada ya mchezo kuwa Prison walidefend na kufanya counter hivyo ikawa vigumu kwa Simba kucheza.
b) Kocha wa Prison alijua Simba wanachezaje na yeye acheze vipi
c) Mchezaji kama Miraji Athumani anafanya vizuri sana anapoingia kucheza kuliko wachezaji wengi ambao kocha amewafanya ni regular players, na hivyo inamchanganya anapokuwa anamiweka benchi au kumuweka kwa kipindi kifupi.
d) Upangaji wake wa timu na subs ni mgogoro, leo kamtoa Ajib ambae ni striker aliyekuwa anatakiwa kusaidiana na Kagere, amemuacha Mzamiru na Fragha kwenye game tough.
Kiukweli hata mimi simuelewi huyu kocha wetu, ni wa mpira au tuliingia chaka.
Nilionalo kwa MK 14 umri umeanza kumtupa mkono maana performance yake imeshuka sana siku hiziWape credit na prison sio lazima simba ishinde mechi zote
Performance yake inategemea nje ya Uwanja kwenye Miamala ya Voda,Airtel au Tigo kwa Timu pinzani.Nilionalo kwa MK 14 umri umeanza kumtupa mkono maana performance yake imeshuka sana siku hizi
Fukuzeni hafai huyoNimewasikia wachambuzi wa Azam Sport wamesema yafuatayo;
a) kocha wa Simba huwa hafanyi research kuhusu timu anayocheza nayo ubora wao ni upi na yeye achezeje, yeye anafanya rotation zake tu bila kujua hii ni mechi gani. Na hii inathibitishwa na kauli yake baada ya mchezo kuwa Prison walidefend na kufanya counter hivyo ikawa vigumu kwa Simba kucheza.
b) Kocha wa Prison alijua Simba wanachezaje na yeye acheze vipi
c) Mchezaji kama Miraji Athumani anafanya vizuri sana anapoingia kucheza kuliko wachezaji wengi ambao kocha amewafanya ni regular players, na hivyo inamchanganya anapokuwa anamiweka benchi au kumuweka kwa kipindi kifupi.
d) Upangaji wake wa timu na subs ni mgogoro, leo kamtoa Ajib ambae ni striker aliyekuwa anatakiwa kusaidiana na Kagere, amemuacha Mzamiru na Fragha kwenye game tough.
Kiukweli hata mimi simuelewi huyu kocha wetu, ni wa mpira au tuliingia chaka.
DumeHili swali Mimi huwa najiuliza mara nyingi ila huwa nahofu kuuliza mashabiki wenzangu wa Simba tukiwa pamoja kuhofia kuniona msaliti.
Timu yetu ni Simba bila shaka limetokana na Simba mnyama. Kama ndivyo ni aidha Simba atakuwa dume au jike. Na mara nyingi tumeona Simba jike ndiye hatari zaidi ya dume.
Je hii Simba yetu ni Simba dume au Simba jike?
Bila mlungula simba ni mwepesi sanaNdio maana mlungula umegoma kupenya
Nimewasikia wachambuzi wa Azam Sport wamesema yafuatayo;
a) kocha wa Simba huwa hafanyi research kuhusu timu anayocheza nayo ubora wao ni upi na yeye achezeje, yeye anafanya rotation zake tu bila kujua hii ni mechi gani. Na hii inathibitishwa na kauli yake baada ya mchezo kuwa Prison walidefend na kufanya counter hivyo ikawa vigumu kwa Simba kucheza.
b) Kocha wa Prison alijua Simba wanachezaje na yeye acheze vipi
c) Mchezaji kama Miraji Athumani anafanya vizuri sana anapoingia kucheza kuliko wachezaji wengi ambao kocha amewafanya ni regular players, na hivyo inamchanganya anapokuwa anamiweka benchi au kumuweka kwa kipindi kifupi.
d) Upangaji wake wa timu na subs ni mgogoro, leo kamtoa Ajib ambae ni striker aliyekuwa anatakiwa kusaidiana na Kagere, amemuacha Mzamiru na Fragha kwenye game tough.
Kiukweli hata mimi simuelewi huyu kocha wetu, ni wa mpira au tuliingia chaka.
Safiiiiii........ha haaa.Mbumbumbu fc aka She_ mbwa yaan mbwa jike maweeeee!
Unaona eeeehhh.....Muamala FC.Bila mlungula simba ni mwepesi sana
Si unaona kwa ud songo na kwa matajili wa madini wa kule shinyanga
Fukuzeni hafai huyo
Kibamia.Hili swali Mimi huwa najiuliza mara nyingi ila huwa nahofu kuuliza mashabiki wenzangu wa Simba tukiwa pamoja kuhofia kuniona msaliti.
Timu yetu ni Simba bila shaka limetokana na Simba mnyama. Kama ndivyo ni aidha Simba atakuwa dume au jike. Na mara nyingi tumeona Simba jike ndiye hatari zaidi ya dume.
Je hii Simba yetu ni Simba dume au Simba jike?
Credit kwa Prison ipo kwenye point (b), soma kwanza "mikedean" wa kuchonga.Wape credit na prison sio lazima simba ishinde mechi zote
Kanda Bongoman56' Ajibu anatoka na nafasi yake anachukua Kanda
Simba SC 0-0 Tanzania Prisons
Sasa hii ndo mikia ninayoijua mimi. Mikia isiyo na pema.Nilionalo kwa MK 14 umri umeanza kumtupa mkono maana performance yake imeshuka sana siku hizi
Ukiona hivyo ujue hakuna mazoezi ya kupiga faulo Simba, haiwezekani best player wa kucheza dead balls leo awe ery poor.Wewe Ibrahim Ajibu, ulibembeleza sana kurudi Simba SC.
Tukakuonea huruma na kukurudisha ingawa ulitusaliti.
Uliiacha Simba ikiwa kwenye dhiki na taabu tele.
Kama Yanga Ingekuwa na neema wewe usingerudi Simba SC.
Wewe ni mamluki kwa sababu gani.
Leo unakimbilia kupiga faulo mbili na unapazipaisha nje ya lango zote.
Kupaisha nje ya lango ni kumsaidia adui.
Hivi wewe hufanyi mazoezi ya kupiga faulo mazoezini ?
Kama hufanyi Ni kwanini unakimbilia kupiga faulo wakati wa mechi ?
Sema wewe Mamluki, inakichezeaje usichokifanyia mazoezi.
Rudi kwenye timu yako ya Yanga Kama Ngasa.
Ni kwanini humuachii faulo Erasto Nyoni au Muhamed Husein a.k.a. tshabalala ?
Wachezaji wenye mapenzi na Simba SC, kwenye njaa na shibe ?
Wacha upumbavu wako Ajibu. Wacha Unafiki.
Nenda kwenye Yanga Yako Ajibu, ukiendelea na huu upumbavu wako. sisi Simba tutakuchoka.
Na tumeisha kuchoka.