Vodacom Premier League (VPL) Simba SC vs KMC FC, burudani ya uhakika Uwanja wa Taifa

Hawezi akarudi kukujibu
 
Mkuu mbona unatufunga kamba au unafikiri hatufatilii ligi ya S.africa? Hakuna mchezaji mwenye assist 15
 
Mchezaji miaka 23, sio CF anacheza kama kiungo mshambuliaj au kiungo wa pembeni, anatandika goli 19..kwenye michezo 30, bado hatujasema assists hapo..alafu kuna mtu ana mdharau
Mnajuana nyie Mtani πŸ˜€

Yaani acha tu sababu kama sio ukata hata huyo Luis angekuwa wetu sasa.
 
Nim
Aiseee. Niwe mkweli nimejikuta namkubali Luis mana ni msumbufu.

Sijui tumpangie nani mechi ya Yanga na Simba apate kumtuliza. πŸ€”
Nimekupenda sana leo, umekua mkweli kwa nafsi yako, uendelee hivyo hivyoo eeh ShadeeyaπŸ€ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…