Kwamba Mo Salaa kukosa kwake namba sio kufeli ila Luis kukosa namba ni kufeli , Kwasababu Willian alikua bora kuliko sala yeye hajafeli , ila aliekua bora kuliko Luis kunamfanya Luis kuonekana kafeli
Luis anatoka Ud Songo anaenda Mamelodi ana miaka 22 , it's hard kwa mchezaji wa umri kuingia tu direct kwenye kikos , ameenda chipa ambako hakukaa karudi UD Songo, msimu wake ambao ni huu ulio isha katupiga goli 19 kwenye michezo 30 , alafu anatumika kama ATTACKING MID AU WINGER, mara nyingi Right wing ..
he was 23 year's of age , taja mchezaji mmoja tu kutoka kwenye hizo club ambae ana hizi stats wa umri wa Luis, mmoja tu , remember..he is 24 year's of age
ISSUE YA UBORA WA LIGI
natilia mashaka ufuasi wako wa Simba sports club, natalia sana mashaka .. ukienda kwenye mtandao wa transfer market, Market value ya mchezaji kama Luis ni €180,000, Simba Sports clubs tambua haijasili au kujijenga kwaajili ya ligi ya nyumban hapa , inajijenga kwaajil ya club bingwa Africa, ndio maana leo hii inachukua mchezaji kutoka Tp mazembe, Mamelodi/Ud Songo.. Al hilal, Gor mahia ..sio kwaajili ya ligi ya nyumbani , ni kwaajil ya huko Africa , hao kina Tp sijui Mamelodi waje hapa unadhan watasajilimika kiwepesi tu ?? haiwez kua hivyo , somehow...wana ubora wao , ila we are not far from them , hili gap la point 20 kwenye premier league hapa nyumban halijaja tu. hivi, na pengine tokea umezaliwa hujawah ona gap kubwa namna hii kati ya kinara na anaeshika nafasi ya pili
swala jingine
Hakuna mchezaji wa Mamelodi mwenye hiyo idadi ya goli uliyo andika hapo , unless otherwise ulimaanisha jambo jingine
View attachment 1374550
Sent using
Jamii Forums mobile app