Vodacom Premier League (VPL) Simba SC vs KMC FC, burudani ya uhakika Uwanja wa Taifa

Vodacom Premier League (VPL) Simba SC vs KMC FC, burudani ya uhakika Uwanja wa Taifa

Kwamba Mo Salaa kukosa kwake namba sio kufeli ila Luis kukosa namba ni kufeli , Kwasababu Willian alikua bora kuliko sala yeye hajafeli , ila aliekua bora kuliko Luis kunamfanya Luis kuonekana kafeli

Luis anatoka Ud Songo anaenda Mamelodi ana miaka 22 , it's hard kwa mchezaji wa umri kuingia tu direct kwenye kikos , ameenda chipa ambako hakukaa karudi UD Songo, msimu wake ambao ni huu ulio isha katupiga goli 19 kwenye michezo 30 , alafu anatumika kama ATTACKING MID AU WINGER, mara nyingi Right wing ..

he was 23 year's of age , taja mchezaji mmoja tu kutoka kwenye hizo club ambae ana hizi stats wa umri wa Luis, mmoja tu , remember..he is 24 year's of age

ISSUE YA UBORA WA LIGI
natilia mashaka ufuasi wako wa Simba sports club, natalia sana mashaka .. ukienda kwenye mtandao wa transfer market, Market value ya mchezaji kama Luis ni €180,000, Simba Sports clubs tambua haijasili au kujijenga kwaajili ya ligi ya nyumban hapa , inajijenga kwaajil ya club bingwa Africa, ndio maana leo hii inachukua mchezaji kutoka Tp mazembe, Mamelodi/Ud Songo.. Al hilal, Gor mahia ..sio kwaajili ya ligi ya nyumbani , ni kwaajil ya huko Africa , hao kina Tp sijui Mamelodi waje hapa unadhan watasajilimika kiwepesi tu ?? haiwez kua hivyo , somehow...wana ubora wao , ila we are not far from them , hili gap la point 20 kwenye premier league hapa nyumban halijaja tu. hivi, na pengine tokea umezaliwa hujawah ona gap kubwa namna hii kati ya kinara na anaeshika nafasi ya pili


swala jingine
Hakuna mchezaji wa Mamelodi mwenye hiyo idadi ya goli uliyo andika hapo , unless otherwise ulimaanisha jambo jingine View attachment 1374550

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi akarudi kukujibu
 
Kwanza kabisa nikusahihishe mo Salah hakufeli Chelsea ila alikosa namba nafasi yake alikuwa anagombania number na Willian ambaye alikuwa yupo kwenye form ya Hali ya juu na hata mechi ambazo mo Salah anachezeshwa dk 15 za mwisho alikuwa anacheza vizuri.Luiz kakosa number mamelody kwa sababu anayegombania number nae ana ubora Mara mbili yake Hadi sasa hiv tunaongea jamaa ana goal 11 assist 15 na level ya ushindani wa ligi ya South Africa uwezi kufananisha na ligi ya kwetu bongo.Hii inakuonesha kwanini luiz alikuwa benchmaker ndo maana nimekuambia wenzetu wanawachezaji Bora kuliko sisi kwa namna hii uwezi kushindana nao hata huyo deo Kanda kakosa number Tp mazembe ndo akatolewa kwa mkopo kuja Simba sio kwa sababu hajui la hasha! Ni kwasababu kazidiwa kiwango na anayegombania number nae.Kwa style hii unawezaje kushindana na mamelody au Tp mazembe? Ukiondoa mbali kwanza team za kaskazini.
Mkuu mbona unatufunga kamba au unafikiri hatufatilii ligi ya S.africa? Hakuna mchezaji mwenye assist 15
 
Mchezaji miaka 23, sio CF anacheza kama kiungo mshambuliaj au kiungo wa pembeni, anatandika goli 19..kwenye michezo 30, bado hatujasema assists hapo..alafu kuna mtu ana mdharau
Mnajuana nyie Mtani 😀

anyway..hapo jangwan, mtu alie waona Morrson na Luis.. msimwache huyu mtu , anajicho sio kidogo, leo tuna Luis kupitia huyo mtu , sipati picha mngefanikiwa mshusha hahaha..mara vaap muwe nao wote wawil, tungeambia nn watu sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani acha tu sababu kama sio ukata hata huyo Luis angekuwa wetu sasa.
 
Back
Top Bottom