Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Simba imesheheni Viwango Mkuu, gap yake itazibwa kwa ufasaa na point 3 lazima.Bull Striker Meddie Kagere, anaumwa hivyo anakosekana katika mechi ya leo hii ya VPL.View attachment 1373928
Leo Azam wamezidiwa;wanachotufanyia Azam sio poa. Mtangazaji aendane na kasi ya Simba Sc. huyu jamaa kama anatangaza taarifa ya habari
wizara ya ulinzi ya simba hapo imetimia,sina shaka nayo ikiongozwa na mkuu wa majeshi paschal wawa,Vikosi vinavyoanza VPL kwa pande zote mbili vya Simba SC, na KMC FC View attachment 1373895View attachment 1373896
Ahasante sana samata kafungua mlango wa mabao sasaJaman Samatta Kesha tia kamba hukuuu